Majaribio Ya Imani (Tempting Faith)

Majaribio Ya Imani (Tempting Faith)

eBook - 2012
Rate this:
"Mwandishi wa habari za burudani Faith (Fortunata) Wheeler anajua siri ambayo inaweza kumpa umaarufu mkubwa Hollywood. Kwa bahati mbaya siri hiyo inaweza kumuharibia umaarufu wake mkubwa msanii nyota Zander Baron. Nyota mpya kabisa anaechipukia kwa kasi wa filamu za ngumi wa Hollywood Zander ana kila sifa ambazo mwanaume yeyote angependa kuwa nazo - na mwanamke anazovutiwa nazo. Mtanashati, ana akili, huruma na mcheshi. Zander ana hewa ya ajabu ambayo inamfanya alete mshawasha wa kutaka kumjua zaidi. Hakuna mtu anayejua ukweli kuhusu asili na pengine hata jina lake halisi. Isipokuwa Fortunata. Fortunata anajua kila kitu kuhusu mwanaume huyu aitwaye Zander Baron, kwa sababu alishawahi kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi usiku mmoja wa ajabu na kusikitisha walipokuwa bado vijana katika mji mdogo wa Booger Hollow, Magharibi mwa Virginia. Faith anamfahamu alivyo na zaidi ya hapo anamjua Zander ni nani. Akijawa na mipango ya kumfichua, Zander anatafuta kila mbinu ya kumnyamazisha. Anatumia uwezo wake wa akili , muonekano wake, uchangamfuwake na njia zote kumshawishi afiche siri yake, lakini maafa yanapoikumba tena Booger Holow, Zander anagundua ukweli kwamba hawezi kuishi bila ya mwanamke huyu - ni ufunguo wa kuaw na Fortunata."-- Provided by publisher.
Publisher: New York, NY : Genesis Press Kiswahili, 2012
ISBN: 9781585716609
Characteristics: 1 online resource (337 pages)
data file
Additional Contributors: enki Library (Online service)

Opinion

From the critics


Community Activity

Comment

Add a Comment

There are no comments for this title yet.

Age

Add Age Suitability

There are no ages for this title yet.

Summary

Add a Summary

There are no summaries for this title yet.

Notices

Add Notices

There are no notices for this title yet.

Quotes

Add a Quote

There are no quotes for this title yet.

Explore Further

Recommendations

Subject Headings

  Loading...
No similar edition of this title was found at MARINet.

Try searching for Majaribio Ya Imani (Tempting Faith) to see if MARINet owns related versions of the work.


  Loading...
[]
[]
To Top